Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa.
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of Fine Arts Jijini Budapest nchini Hungary. (Tarehe 14 Septemba 2023).
Makamu wa Rais...
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi.
===
Tulia Ackson
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH.
Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao.
Sasa...
Salaam Wakuu,
Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja.
Kuna ukweli hapa?
Picha: Cleopa Msuya
Benki ya NMB yazindua tawi jipya Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais Philip Mpango.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo ameipa Benki ya NMB baraka zake na kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma na kuipongeza kwa uthubutu na kuwafuata Wananchi...
Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step.
Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara.
Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo.
RC Mongella anatoa neno
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.