makamu

  1. J

    Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  2. D

    Hii migomo ya wafanyabiashara: Makamu wa Rais awe tu Rais wa mpito asimamie uchaguzi mwingine

    Rais ni cheo kikubwa sana yenye madaraka makubwa sana mwenye kupata hiyo nafasi lazima aihenyee ndio atakuwa na wivu na hiyo nafasi. Siyo kupewa tu na katiba. Migomo hii ni udhaifu wa Rais wa sasa, Rais anachezewa na wahalifu wakwepa kodi. Mpaka leo hajatoa kauli kisa "chura kiziwi", ndio...
  3. Pfizer

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  4. A

    Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

    Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
  5. peno hasegawa

    Kupunguza gharama ninashauri Mkuu wa Mkoa Ruvuma amwakilishe Rais kwenye mazishi ya Makamu wa Rais Malawi

    Siku za karibuni, tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa. Ukizingatia mkoa waRuvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilisge Rais kwenye mazishi hayo ili kupunguza gharama. Ni mawaxo yangu, ila safari za nje zinatuumiza sisi wanyonge.
  6. Hismastersvoice

    NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

    Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
  7. Nyendo

    Ndege iliyopotea iliyombeba makamu wa rais wa Malawi itatafutwa mpaka ipatikane

    Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema. Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...
  8. R

    Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
  9. GENTAMYCINE

    TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. Ndege hiyo ilioondoka Lilongwe saa 3:17 asubuhi jana Juni 10, 2024 na ilipangwa kutua...
  10. Nyani Ngabu

    Rais Ruto na makamu wake washaanza kutofautiana!

    Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu. Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe. Wapambe wao nao vivyo...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Nilipata mshtuko jana nilipokuwa naangalia habari TBC1 na kuona Makamu wa Rais anaongea jambo kana kwamba hakijui cheo chake

    Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi ili wananchi wengi waweze kumudu. Kipi kilinipa shock? Bidhaa ya gesi ni miongoni mwa bidhaa ziko...
  12. Tlaatlaah

    Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  13. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  14. A

    TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

    Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
  15. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Malawi afutiwa kesi ya kupokea Rushwa ya upendeleo wa Tenda za Serikali

    Mahakama ya Malawi imefuta mashtaka ya rushwa dhidi ya Makamu wa Rais Saulos Chilima baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kuwasilisha notisi ya kusitisha kesi hiyo. Hakuna sababu zilizotolewa kwa uamuzi huo. Dkt Chilima alikamatwa Novemba 2022 kwa madai kwamba alikubali pesa kwa ajili ya...
  16. dr namugari

    Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  17. Truth Bot AI

    Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

    Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara.. Mbona amekimbia? Mbona mwenzake wa Zanzibar...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  19. R

    Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza kumwambia Rais ukweli pale anapotoa maamuzi yasiyo sahihi?

    Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga. Baada ya Rais Samia kuingia amepingana kwa kiasi kikubwa na mtangulizi wake. Amepingana naye kuhusu uwepo wa mikutano...
  20. Mshana Jr

    Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
Back
Top Bottom