makamu

  1. The Burning Spear

    Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

    Great Thinkers. Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali. Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze.. Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
  2. Msanii

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  3. Analogia Malenga

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  4. B

    Majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi?

    Asalaam Aleykum. Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo. Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia masuala ya mazingira. Sasa kama ni hivyo kweli, na huko Manyara tumepata mafuriko kutokana huenda...
  5. R

    Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  6. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  7. Kindeena

    Magazeti RFA: Makamu yupo ziarani nje ya nchi

    Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.
  8. R

    Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
  9. Suzy Elias

    Ya nini huyo Makamu wa Mwenyekiti abembelezwe? Kawa Nyerere?

    Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye. Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile...
  10. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  11. benzemah

    Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  12. Ngaliwe

    Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    "Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
  13. chiembe

    Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  14. B

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
  15. M

    KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  16. Q

    Rais hamuamini Makamu wake?

    Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama...
  17. Stephano Mgendanyi

    Chato: Makamu Mwenyekiti UWT Akagua Miradi ya Maendeleo

    Dondoo Mradi wa maji Bilioni 5.6 Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100 Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526 Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
  18. Mr Dudumizi

    Sielewi ni kwanini Makamu wa chama haaminiwi!

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee mpaka leo sielewi ni kwanini makamu anashindwa kuaminiwa. Yaani pamoja na jitihada zote anazozionesha kupambana huku na kule, lkn bado anaonekana ni "nothing", hana point yoyote ya kuaminiwa kupewa uongozi aongoze. Leo hii ukitoa wazo kwamba mwenyekiti maji...
  19. Erythrocyte

    Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  20. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango atoa msimamo wa Tanzania UN

    Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
Back
Top Bottom