makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  2. Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

    Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
  3. Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  4. Mamlaka yafuta makanisa matano Kenya

    Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa kwenye gazeti la Taifa amesema leseni ya Muhubiri Paul Nthenge Mackenzie wa kanisa la Good News...
  5. J

    Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  6. M

    Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  7. CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  8. Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  9. F

    Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  10. Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  11. Unabii(uprophet) na uaskofu makanisa mapya unatolewa na nani?

    Kuna utitiri wa manabii na maaskofu wapya kila kukicha, wapata vipi hiyo hadhi? Na uzuri wana waumini wengi wanaoamini kisawasawa hasa mama zetu.
  12. Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

    Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao...
  13. Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

    Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima. Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
  14. Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  15. Makanisa yazingatie umuhimu wa Sunday Schools kwa watoto wa umri mdogo na wa kati

    Baadhi ya makanisa kupuuzia Sunday schools kwa watoto na kuwa na utamaduni wa kuwachanganya watoto na watu wazima haimjengi mtoto kimaadili, kidini, kisaikolojia na kiufahamu pia. Maana kuna mahubiri mengine yanaleta matokeo hasi kwenye ubongo wa mtoto. Mtoto lazma afundishwe katika ranks na...
  16. Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  17. Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  18. Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

    Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua..... Austrian police warned Wednesday of a possible "Islamist-motivated attack" in Vienna against churches, citing undisclosed information received by the country's...
  19. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  20. NEMC Yafunda Makanisa na kumbi yanayopiga kelele

    MEYA wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe amewataka wamiliki wa Makanisa na Misikiti mjini hapa,kufuata sheria za utunzani wa Mazingira na kuacha kuzalisha kelele chafuzi zinazobughudhi na kuleta athari kwa wananchi. Iranghe ametoa kauli hiyo mapema leo wakati akifungua semina kwa viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…