Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu.
serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya.
Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri...
Habarini!
Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile
Kuhifadhi taarifa za waumini
Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha
Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa
Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
Waziri Ummy amesema “Bila afya ya akili hakuna afya, lakini tunaogopa tunajificha katika kivuli cha unyanyapaa. Tutasikiliza kutoka kwa wachokoza mada tutaangalia tatizo la afya katika jamii, shuleni, afya ya akili kwa watoto, binafsi kama waziri nimeona tuvunje ukimya.”
Amesema tatizo la afya...
Habari!
Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone.
Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa.
Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022...
Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT.
Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili.
Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro
Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
Habarini ndugu wa jukwaa hili la Tech, nimeleta mfumo wa usimamizi wa taasisi za kidini hususani makanisa.
Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mifumo rasmi ya usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo ambapo kwa sasa mfumo huu...
Phobia ni hali ya kuogopa kitu kigeni kitakuwa na mafanikio kuliko chako, phobia katika dini ni dhana ya uoga wamba dini flani itafanikiwa kuzidi yako, hivyo hatua inabidi zichukuliwe ili kuzuia hata kama ni nje ya maandiko matakatifu.
naonaga watu wanasema kuna islamaphobia lakini kiukweli...
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...
2: Kundi kubwa LA...
Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo.
Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa
Hii ni RC Kibosho...
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.
Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.
Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar.
Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi.
Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza.
Leo Tanzania tupo na dini nyingi ambazo zimebeba imani za watu mbalimbali, na sio mbaya Kama hakuna hukiukwaji wa SHERIA za nchi maana...
Baraza la Umoja wa Makanisa Ulimwenguni (World Council of Churches – WCC) liliundwa kikatiba kule Amsterdam, Uholanzi, August 23, 1948. Limejengwa na matawi ya jumuiya mbalimbali zinazotawaliwa na WCC. Lengo la WCC ni kuunganisha dini zote za ulimwengu katika fungate la kiekumene – au Kanisa...
Sasa Hivi Wasomi wanazidi kuwa Wengi wajinga Wanapungua Kwa Kasi na Serikali ndio hiyo Inazidi kujenga Madarasa hata Kama Haijui Itawapeleka wapi hao wasomi inaowajengea madarasa
Waumini wenu wanaokuja Makanisani (wale wenye Akili Timamu) Wanaona Jinsi gani Mnavyoyaendesha Makanisa Bila Wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.