Hivi ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi michango makanisani imekuwa mingi kuliko miaka ya zamani ??
Siku hizi kumekuwa na michango mingi sana makanisani kiasi kwamba hupelekea baadhi ya waumini kuacha kuhudhuria makanisani kwaajiri ya ibada
Halafu Kuna tabia moja imezuka kwamba inapotokea...
UTANGULIZI
ISAYA 14
12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa...
Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea Ufahari na Utajiri wa watu. Aliyetoa msaada wa Mabenchi anataka jina lake liandikwe kwenye mabenchi hayo, anayetoa msaada wa Vigae anataka jina lake litajwe mbele ya waumini wote na apigiwe makofi nk. Wewe usiye na uwezo huna nafasi tena.
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Makanisa Makubwa kama RC, KKKT, Anglican, Sabato na Moravian wanekuwa wakijitambulisha katika Lugha inayoeleweka na wengi. Hata ktk Mabango yao utakuta yameandikwa Kiswahili Mfano kanisa Katoliki....., Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tayosisi.... nk.
Lakini haya makanisa mengine unakuta...
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina .
Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church...
Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na kukamata watu kwa kisingizio kuwa wamevaa nguo za CHADEMA.
Toka lini ikawa ni utaratibu kwa polisi...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya
By Mgongo Kaitira
Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu.
1:waroma.
2:Waprotestanti
Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania.
Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
Wakuu, ni dhahiri kuwa kuna makanisa yanaibuka sasa kama uyoga. Sioni shida kuibuka kwa makanisa kila kukicha, kwasababu hata baa mpya zinaibuka kila siku.
Pamoja na yote, haya makanisa kuna baadhi yana vituko sana, yaani Mtumishi anaweza kuwa Mtume, Nabii au Mchungaji lakini mambo wanayofanya...
Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.