Nipo kwenye daladala, dereva amefungulia mziki mnene wa singeli, kondakta amevalia suruali ya bluu imejaa viraka kila kona na sehemu nyingine imechanika chanika, hana mpango wa kuishona wala kuifua
Fulana yake ndiyo iliyonitambulisha kuwa kumbe zile ni yunifomu zake na polisi wa usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.