TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI?
STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION)
Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana.
Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu.
"I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...