Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi.
Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...