Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...