makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Pre GE2025 Chalamila acha mapepe, watu wakiumizwa utafukuzwa wewe kuwa makini

    Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia bandari , michezo ya kimataifa Tanzania. Wenzako wanakuacha kama chambo ili yakiaribika wakufukuze...
  2. D

    Ujumbe muhimu Sana. Soma kwa makini ili uwe philosher kama wao

    Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema; Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
  3. Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  4. Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  5. Marioo kuwa makini na Harmonize

    Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana huruma hata kidogo. Kama unabishana namimi jaribu kupitia wimbo wa "NAOGOPA" walioimba pamoja...
  6. J

    Ni aibu..Nimetazama kwa makini hapa sijaona jezi ya Yanga

    Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao Tunasajili magasa tu?
  7. Tuwe makini na pombe, zinaua

    Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena. Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama...
  8. Wazazi kuweni makini na shule zinazofaulisha sana (Top schools)

    Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo. Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
  9. Zama za Haji Manara zipo ukingoni na asipokuwa makini zitalazimishwa kutamatika

    Wakati mwingine ujuaji usio na kiasi huweza kumsababishia mhusika matatizo yasiyo ya lazima mbele ya safari ambayo pengine angefika salama. Haji Manara kwa mfano. Bwana yule hujifanya anayo mengi ayatambuayo. Na kutokuwa kwake makini na ayasemayo, hatimaye yanaelekea kumfitinisha hata na...
  10. Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Walimu ni miongoni mwa raia wenye uelewa wa kutiliwa mashaka. Jamii inatarajia mambo makubwa kutoka kwa walimu lakini hawa viumbe wameshindwa kabisa kuishi maisha yanayoendana na taaluma yao pamoja na heshima wanayostahili katika jamii. Na mwaka huu kama hawatabadilika, watateseka sana. Baada...
  11. Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

    Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu. 1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa) 2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe) 3. Sina...
  12. T

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Habar za muda huu! Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
  13. INASIKITISHA! Wastaafu wageuka ombaomba, vijana tuwe makini

    ITV imeonyesha kilio cha Wastaafu wanaomlilia Mh. Rais Samia ili waongezewe pensheni kwani kwa Sasa wanalipwa TSH laki moja kwa mwezi! Wastaafu hao bila Shaka walikuwa wanakula Bata ujanani na kutokuwekeza Wala kuweka akiba, jambo lililokuja kuwagharimu uzeeni huku wengi wao wakikiri...
  14. Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  15. Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

    Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi. Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho...
  16. Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  17. M

    Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  18. B

    Masuala ya rainbow yamepandikizwa kwenye katuni za watoto,wazazi tuwe makini

    Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa...
  19. Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

    Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki. Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican? Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
  20. Kwaya za utumishi ni usanii. Mh rais iwe makini na wasanii. Ni wale funka kombe mwana apite.

    Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…