Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!...
Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho
Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship
Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini.
Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania.
Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata.
Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018)
5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019)
6. Sven Vandenbroeck (Dec...
Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla
Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini.
Subiri zicheze na na timu za kawaida kama Jkt ,namungi etc ndio ukweli udhihirika kuwa hakuna timu
Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.
1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu.....
2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah
3. Mpira una matokeo matatu...
4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
Wakuu jana nilipata fursa ya kuangalia mashindano ya under 20 kwa timu za ligi kuu kati ya azam na dodoma jiji. Kiukweli nilichokiona kilinisikitisha sana.
Wachezaji wa under 20 kwa kawaida ungetegemea wawe na viwango kuonyesha wapo tayari kiuchezaji kutokana na umri wao.
Lakini huwezi kuamini...
Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene.
Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024
Januari 2018 - Juni 2018
Pierre Lechantre
Julai 2018 - Novemba 2019
Patrick Aussems
Desemba 2019 - Januari 2021
Sven Vendenbroeck
Januari 2021 - Oktoba 2021
Didier Gomez
Novemba 2021 - Mei 2022
Pablo Franco
Juni 2022 - Septemba...