makocha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Uto kumtambulisha Prince Dube, Tshabalala na Jopo la makocha wa Ufaransa

    Mnaombwa wote wana utopolo msikose jumapili kutakuwa na suprise kubwa sana anashuka prince Dube, Siphiwe Tshabalala legendary wa south africa na jopo la makocha kutoka team ya Auxerre ya ufaransa Wote hao wameomba kujiunga na team hiyo baada ya kufurahishwa na ujio wa msemaji mpya ambaye...
  2. beth

    Makocha waliomlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye michuano ya Olimpiki watimuliwa

    Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) imethibitisha kuondoka kwa Artur Shimak na Yury Maisevich, na Uchunguzi unaendelea Kesi...
  3. C

    ‌Lionel Messi kuhusu kuwaheshimu makocha ambao hawajawahi kumfundisha′′

    ‌Lionel Messi kuhusu kuwaheshimu makocha ambao hawajawahi kumfundisha:′′ ingawa nawaheshimu makocha wote wa mpira wa miguu, lakini naweka heshima maalum kwa Jose Mourinho na Sir Alex Ferguson. Sir Alex alinikumbatia na kunibusu kwenye paji langu la uso kwa hisia baada ya kuifunga timu yake ya...
  4. kavulata

    Tatizo la Yanga ni uongozi sio wachezaji wala makocha

    Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya club ni ushahidi tosha kuwa benchi la ufundi na wachezaji sio sehemu ya tatizo la Yanga kwa sasa. Kuna...
  5. marcoveratti

    Makocha huwa wanafundishwa upofu huko vyuoni wanakosomea ukocha?

    Awali nilikuwa najiuliza kuwa kama hawa ndio wazungu na ndio inaaminika wao ni binadamu wenye akili kutuzidi! Inakuaje wanashindwa kuona vitu ambavyo viko wazi kabisa kwenye football!? Vitu ambavyo mtu wa majohe huko ndani ndani na hana hata Leseni F ya FIFA anaona lakini wao hawaoni kuanzia...
  6. waziri2020

    Lengai Ole Sabaya, Makocha huwa wanabadilika

    Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalum. Timu imeshafika robo fainali . Ukumbuke hatua ya makundi ilikuwa ngumu sana maana ilikuwa na vigogo wote unaowajua .mfano pale...
Back
Top Bottom