Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.
Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Baadhi ya makocha wa Premier League wanataka matumizi ya Teknolojia ya kumsaidia mwamuzi uwanjanani ( (Video Assistant Referee -VAR) kuondolewa kutokana na waamuzi kufanya makosa licha ya kuitumia.
Kocha wa Tottenham, Antonio Conte amelalamika waamuzi wa England kushindwa kutafsiri Seria za...
Habari
Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini.
Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu
Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki
leo team iko stuck na...
Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana
1. Jose Mourinho -chelsea, Man U
2. Marco Silva - Everton
3. Fransesco Guidolin - Swansea
4. slaven bilic -west ham
5. slavisa Jokanovic -Fullham
6. scott Perker -bournemouth...
Hii list itaongezeka Tu Nani...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Al ahly SC ni club pendwa barani afrika, na hata nje ya Afrika, ni klabu inayoongoza kuwa na many fans nchini Misry na hata all afrikans kwa ujumla, ikifuatiwa na Zamalek kisha Raja Casablanca n.k.
Kinachoshangaza timu kama Al ahly why inatumia makocha wa nje, wanakuja kupiga hela tu, wakati...
Ethiopia inafundishwa na kocha wao mzarendo basi imekuwa nongwa eti na sisi tumpatie timu kocha mzarendo kwa sababu misri kafungwa na ethiopia! hii inaonesha kwa kiasi gani watu wanaopenda ushirikina wanataka kutuulia timu yetu ya Taifa stars.hawana nafasi watu hao kumsogelea KIm Paulsen...
Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo
Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika hawajatuma cv? wanajua shobo zenu kwa wazungu, mko radhi mumpe kazi mtu ambaye hajui soka la afika wala...
Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa?
Kwa msiojua English msikilize Hitimana
"Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila.
Nami GENTAMYCINE nina...
Wakuu salaam,
Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni shida yaan hakijui yeye anaongea kifaransa lkn unamuona anamwita Faridi au Feisal anamwelekeza jambo...
Kocha ni kama mzazi na mlezi wa wachezaji wake, wachezaji wanamtegemea kocha na nahodha wao wanapokuwa viwanjani.
Haiwezekani makocha wakae kimyaa kabisa kwa waamuzi wasiofanya haki kwa wachezaji na timu yake. Binadamu hayuko hivyo, kuna wakati anaweza kusema kitu bila kukusudia kutokana na...
1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao wakiwa wanacheza Kesho yake basi hukutana kwa kupiga stori Mbili Tatu na kama pia Kimchezo huwa inaruhusiwa.
Asante sana Kocha Mkuu wa Kagera Sugar FC Baraza kwa Kutuandaa mapema...
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.
Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.