makombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

    Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems. Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa...
  2. S

    Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

    Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa. Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano...
  3. kimsboy

    Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku

    Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku Nov 04, 2021 12:02 UTC Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo mkubwa wa makombora ambao unaiwezesha kuushambulia...
  4. jollyman91

    Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

    Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina. Kituo cha...
  5. S

    Balozi wa North Korea (NK) aiambia UN hakuna wa kuinyima NK haki ya kutest makombora, wakati huo huo (wa speech) NK yafanya jaribio jipya la kombora

    South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
  6. S

    Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

    North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
  7. FRANC THE GREAT

    Korea Kusini yaondolewa vizuizi vya makombora. Ruksa sasa kuunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi!

    Habari! Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in alitangaza uamuzi huo Ijumaa kufuatia mkutano wake na Rais wa Marekani Joe Biden hivi karibuni jijini...
  8. Sam Gidori

    Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
Back
Top Bottom