Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...