Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende.
Amesema akihitimisha ziara katika mikoa 20 ataanika udhaifu uliopo katika kila sekta.
Makonda ameeleza hayo leo Jumanne Februari...