makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. GENTAMYCINE

    Makonda umewezaje kulia kwa mama aliyepotelewa na mume ila kwa wazazi wa Ben Saanane ukiwa RC wa DAR hukulia?

    Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa. Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
  2. P

    Pre GE2025 Utekaji wamliza Makonda

    "Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote". "Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo...
  3. L

    Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda kuwa Chifu Nsumbantale,yenye...
  4. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  5. Mwande na Mndewa

    Pre GE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

    Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!? Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
  6. Crocodiletooth

    Asante Makonda kwa kutugusa sisi walalahoi wa chini kabisa

    Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura! Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa, kunyanyaswa, kudhulumiwa na mengi tu mabaya ya hovyo hutufika sisi ikiwapo kunyanganywa haki zetu wakati...
  7. Nigrastratatract nerve

    Makonda asisitiza uwajibikaji

    📌📌MAKONDA ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KAULI NZURI KWA WATENDAJI WA SERIKALI. Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Makonda amewataka watendaji wa serikali ya mkoa wa Shinyanga kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa...
  8. E

    Nilichokiona kwenye ziara za Paul Makonda

    Ziara za Komredi Makonda, na hasa anapowapambanisha watumishi wa umma na wananchi, zinadhihirisha udhaifu mkubwa wa Chama Cha Mapinduzi.
  9. B

    LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Pre GE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

    Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda". Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia. Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi...
  11. N

    Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  12. Suley2019

    Pre GE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  14. chiembe

    Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

    Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama...
  15. Mjanja M1

    Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

    Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake. Nini maoni yako? 📹 AyoTv
  16. M

    Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    "Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
  17. Erythrocyte

    Pre GE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga . Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana ! Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
  18. Jaji Mfawidhi

    Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

    Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama. RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza...
  19. mwanamwana

    Pre GE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  20. Escrowseal1

    Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

    Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake. Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi...
Back
Top Bottom