Habari,
Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM.
Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...