makosa ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu, kauli iliyoligawa taifa. WanaCCM wakifa nashauri msiwahukumu kwa makosa ya Samia.

    WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mama ahukumiwe kwa makosa yake si kwa dini, uzanzibari wala jinsia yake. Kila kundi haikosi watu wasiowaminifu, tusitengeneze tatizo lingine

    Naomba nikemee vikali watu wanaojaribu kuhukumu dini au kabila au jinsia ya mtu badala ya mtu binafsi. Kila kundi halikosi watu wasiowaminifu. Kila kundi halikosi wahuni. Kila kundi halikosi watu wabinafsi. Narudie nakemee vikali na kamwe tusikubali kuingizwa kwenye huo mtego wa kidini au...
Back
Top Bottom