Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,366 Reaction score 5,209 Oct 16, 2026 #1 WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇 Attachments Screenshot_20261016-035236.jpg 137 KB · Views: 7
A abdulian Member Joined Sep 23, 2026 Posts 33 Reaction score 74 Oct 16, 2026 #2 Jana kaondoka diwani,hatufurahii ila mpk jambo letu litimie labda tutafikiria ombi lako
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Oct 16, 2026 #3 Wakati wa kauli ya kifo ni kifo inatolewa wao walisemaje, walikuwa upande gani? Kukaa kimya wakati tendo baya linatendwa ni kusapoti ubaya.
Wakati wa kauli ya kifo ni kifo inatolewa wao walisemaje, walikuwa upande gani? Kukaa kimya wakati tendo baya linatendwa ni kusapoti ubaya.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,439 Reaction score 145,410 Oct 16, 2026 #4 Ah wapi! Mimi hata mtoto mchanga wa mCCM akifa nitashangilia tu. I hate all of them muthafunkers. All of them.
Ah wapi! Mimi hata mtoto mchanga wa mCCM akifa nitashangilia tu. I hate all of them muthafunkers. All of them.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Oct 16, 2026 #5 Kamanda Asiyechoka said: WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇 Click to expand... "kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida" kinyume na hapo ni ushirikina tu 🐒
Kamanda Asiyechoka said: WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇 Click to expand... "kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida" kinyume na hapo ni ushirikina tu 🐒
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 6,610 Reaction score 13,270 Oct 16, 2026 #6 Kha! Tumeanza kupangiana matumizi ya furaha wakuu!?