Jisalimie mwenyewe mi nipo busy bana 😂😂
Ujana hususani miaka ya 20-35 ni miaka muhimu sana kwenye maisha, hapo ndipo watu huajiriwa na kuanza kuzishika pesa, huwa huru, huoa/olewa, humaliza masomo etc, ila kipindi hiki ndicho chenye makosa mengi sana kwa kuwa huwa kunakuwa na trial and errors...