Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali vya maktaba.
Prof. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka.
Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara
Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri kwenye uboreshaji wa ELIMU yetu.
Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa...
UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO
Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
Nilifika Maktaba ya Dodoma siku saba zilizopita, ni maktaba nzuri sana kwa kuangalia jengo.
Kuna kasoro ambazo lazima zirekebishwe haraka.
1. KELELE NJE YA MAKTABA
Viongozi wa maktaba lazima wazingatie ukweli kuwa maktaba ni eneo lenye kuhitaji utulivu sana kama ilivyo mahakamani na...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo.
Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo elimisha na kuburudisha maktaba huwa na rasilimali za kiada na ziada.
Kuna aina tofauti za maktaba...
Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink.
Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes.
Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini.
Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
Baada ya kuwa kimya kwenye sekta hii ya uandishi leo naangusha wino wangu kuwapa simulizi. Huku nikiwa na machungu ya kifo cha muandishi wa zamani wa masimulizi ya kurudi kwa James akeke basi hisia zile zimenipa kiu ya kuwaelezeeni yale yaliyompata JAMES ALKANDO Shujaa wa jeshi la polisi...
Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical.
Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba...
Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
"Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..."
Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo.
Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
Habari Wadau
Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya.
Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.