maktaba

  1. F

    Mwenyewe taarifa juu ya maktaba ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa

    Habari JF. Miaka ya nyuma Kati ya 2011 na 2012, Serikali ilianzisha ujenzi wa Maktaba au library ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa. Maktaba hiyo ilikuwa ikijengwa eneo la Madale jijini Dar. Mwenye taarifa juu ya kukamilika kwa maktaba hii na ikiwa inatumika atujuze. Najua nyakati hizi za digital...
  2. L

    Maktaba kuu ya Arusha

    Kazi iendelee... Maktaba kuu ya Arusha, kisima cha maarifa uliyebeba mengi... Safari za ushindi za watu machozi yao na furaha, historia ya tangu kuumbwa kwa dunia hata leo kaskazini kusini mashariki na magharibi jamani wahusika ipakeni rangi hii maktaba kwa nje rangi imechoka mno maktaba...
  3. Sky Eclat

    Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

  4. Kiparuanda

    Maktaba ya TBC ipo kwa ajili ya manufaa ya nani?

    Ukisikiliza au kutazama TBC wanakuambia wao ni moja ya mashirika Afrika yenye maktaba kubwa na kongwe zaidi na inawezekana ni kweli kwani ukibahatika kuwakuta wakiwa na mood nzuri huwa wanaonesha video za kale kuanzia harakati za viongozi kabla hata ya uhuru, makala nyingi sana zinazohusu siasa...
  5. Mohamed Said

    Tujikumbushe historia ya TANU kwa picha na maelezo ya nyakati kutoka Maktaba ya Ali Msham

    PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1 Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua Marehemu Baba Yake Ali Msham...
  6. Mkogoti

    Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  7. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

    Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
  8. G Sam

    Video kutoka maktaba: Baba Askofu Josephati Gwajima akimfufua mwanafunzi aliyefariki dunia ghafla

    Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona! Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
  9. Determinantor

    Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  10. Sky Eclat

    Kutoka maktaba za Taifa

    Msaada wa kuwatambua wengine zaidi ya Dr John Magufuli.
  11. Victor Mlaki

    Maktaba ya ujerumani (Bavaria) imefikia uamuzi wa kurejesha vitabu vya freemasons vilivyoibiwa miaka 80 iliyopita

    Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
Back
Top Bottom