Hili suala la Bandari na DP World halikosi ukoko.
Mama amesema wazi wazi kwamba atatumia hekima kukaa kimya, jambo ambalo ni heri maana mambo kutatua figisu (kama alivyosema mama Mongella) hayataki papara!
Lakini vichwa havikawii kufikiria mambo magumu. Inadaiwa ndege yetu imekamatwa huo...
Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.
Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika...
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (EWURA)...
Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais
Sambamba...
Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani.
Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo...
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
Fikiria unaagiza gari chakavu (used car) nje ya nchi, ikifika TRA, TBS, TPA Kodi na ushuru usio wa kikodi huu hapa,
Kwa mfano,
I. Discovery 3 Kodi tu 18m TZS,
II. Ford Ranger kodi tu 30m TZS,
III. PRADO Kodi tu 35m TZS (TRA wanaipata bure tu).
Halafu hiyo Kodi unaenda kumnunulia mtu mmoja V8...
Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO).
Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.
Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu...
Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Moja ya changamoto kubwa katika kufikia utawala bora ni janga la rushwa, ambalo huzuia ukuaji wa kiuchumi, hupotosha usawa na haki, na kudhoofisha imani ya umma kwa serikali. Hata hivyo, kuna matumaini mapya ya...
UWEKEZAJI KATIKA BANDARI UNA MANUFAA MAKUBWA KIUCHUMI: BASHUNGWA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema maamuzi ya Serikali kuhusu Uwekezaji na uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam utaongeza ufanisi kiutendaji na manufaa...
Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa.
Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji chetu hiki kikongwe.
Kama sasa hivi akifika mgeni ghafla hapa kijijini kwetu,anaweza kufikiria...
Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
Kwa ufupi sana
Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne.
Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.