Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia...
Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa.
Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...
MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA
Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo makubwa. Jambo hili likanikumbusha wakati fulani nilipokuwa shule ya bweni pale Ifunda, siku za...
Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna.
Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko...
Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake.
Taarifa: BBC Swahili
Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
Serikali ya awamu ya sita imeboresha mazingira ya uwekezaji na haya ni baadhi ya maeneo ambayo yameboleshwa;
Uchumi Imara
Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 4.9, hii inatokana na mageuzi makubwa ya kiuchumi na sera nzuri nchini zilizofanya na Rais Samia Suluhu Hassan
Utajiri wa maliasili...
Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo
Jijini Bujumbura wana yanga kindakindaki wameandaa maandamano ya amani kuelekea ubalozi wa Tanzania...
Ukifika Ofisi za Tazara unaweza kukuta nusu ya wafanyakaza hawapo kazini hata wiki nzima na kwao hiyo ni normal kabisa.
Mkurugenzi akitoka tu na wao hupanga lini niende ofisini lini nisiende nitoke saa ngapi, kama kweli tunataka matokeo yenye tija na hizi reli tulizozijenga kwa hela nyingi za...
Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya .
Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa...
Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake.
Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru.
Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
Hili ni angalizo.
Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga.
Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili.
Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida.
Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA!
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
Kanisa moja la Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.
Inaripotiwa kwamba Kanisa la Nazareth Baptist mjini Durban, Afrika Kusini lilianza mazoezi hayo ili kuwahimiza wanawake wachanga kanisani kutunza ubikira wao...
Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti.
Kwa ushauri zaidi.
PM
au
Email: menejawamakampuni@gmail.com
Let be smart in seriously issues.
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.
Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia
neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo!
jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
“Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV.
Jaribio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.