Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa.
Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...