Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024?
Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa
1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi kuu mara ya 30 na mara ya tatu mfululizo
2.Yanga kufuzu robo fainali CAFCL
3.Goli la Aziz ki...
Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira
Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR).
Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Sera...
Kwema Wakuu!
Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.
Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.
Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10.
Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ?
Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.
Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki,
Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida,
Pamoja na ukweli kwamba nguo hizi za mtumba haziepukiki kwa sababu bei zake ni rafiki kwetu, kuna baadhi ya nguo...
Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni.
Pale eneo la...
1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa.
Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.