makundi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo: Watu au makundi ya watu yasiyoaminika katika jamii

    Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU? 1. Polisi 2. CCM 3. Bakwata 4. Malasusa 5. ACT ( baadhi excluding Ado Shahibu) 6. Mahakama Ongezea..... Bottomline ni kuwa yeyote asiyekemea maovu yanayoendelea Tanzania ni...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Yajue makundi ya watu Kisaikolojia, wewe unalijua kundi lako?

    Wanadamu wamegawanyika katika makundi manne kisaikolojia yaliyo katika mafungu mawiliyaani Introverts na Extroverts. Makundi haya haya manne ya tabia (tempraments) yana asili yake katika falsafa ya Ugiriki ya Kale, hasa kupitia kwa tabibu Hippocrates na baadaye Galen. Yanaeleza jinsi watu...
  3. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  4. JamiiForums Tanzania 𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀: Mgawanyo wa makundi ya watu kiutawala. Wewe upo kundi lip?

    𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀: πŠπ€πŒπ€ π‡π€π”πŠπ”π‰π”π€, 𝐔𝐉𝐔𝐄 π‡πˆπ•πˆ....!!! 𝑡𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-π‘©π’‚π’‘π’•π’Šπ’”π’• 𝑴. π‘΅π’ˆπ’‚π’•π’–π’π’ˆπ’‚ _______________________ Ili unielewe nitakachoongea hapa, unatakiwa uwe Mtulivu wa akili badala ya kutegemea tu D mbili. Maana unaweza ukawa na D 2 zako halafu nikaishia tu kukuchanganya. Iko hivi, 1% tu ya Watu wote ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

    Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya. 1. Dada wa kazi. Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Makundi 7 ya watu wanaoheshimiana sana Tanzania. Nini siri yake?

    Kuna makundi ya watu wakikutana mahali wanaheshimiana sana. Mimi nimeona makundi yafuatayo, je kuna siri gani? 1. Wachawi 2. Washirikina 3. Wanasiasa 4. Wanajeshi 5. Polisi 6. Wafanyabiashara wakubwa 7. Viongozi wa dini 8. Mateja 9. Madalali 10. Matapeli 11. Mafundi 12. Walevi
  7. JamiiForums Tanzania Makundi ya watu ambao huwezi kuwakwepa duniani

    1. WANAFIKI* Hili ni kundi la watu ambao wakiwa na wewe lakini wakiwa mbali na wewe wanaokusema vibaya au kukufanyia mambo mabaya. Watu kaka hawa hukupa changamoto na ni ngumu kumjua mnafiki kwa sababu watacheka na wewe pia wakiwa na wewe watafurahi huku nyuma ya pazia wakiwa wanakuwazia mabaya...
  8. JamiiForums Tanzania 70% ya Wagonjwa wa Kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya MZRH Mbeya wana tatizo la uti wa mgongo

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo. Vilevile, imebainishwa...
  9. JamiiForums Tanzania SEX ALLERGY: Hivi kuna makundi ya watu hayafai ktk mapenzi?

    Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k? Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu...
  10. JamiiForums Tanzania Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

    1. Kapata Pesa za Ghafla Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata mpango wa biashara ila kwakua kapata pesa na watu waliomzunguka wengi marafki majiran n...
  11. JamiiForums Tanzania Makundi ya watu na tabia zao: Je, wewe upo kundi gani?

    MAKUNDI YA WATU NA TABIA ZAO je wewe ni kundi gani? Msingi mkuu wa mgawanyiko huu ni sifa zinazoamua uwezo wa kundi hilo lakini ni lazima kuzingatia uwezo huo huchochewa kutoka ndani kwa mtu mwenyewe au kutokana kwa watu waliomzunguka wale ambao uchochezi hutokea ndani huitwa Introvets sifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…