makundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Azungumza na Makundi Mbalimbali Kata ya Mabawe, Ngara

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe. Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
  3. Cute Wife

    Utafiti: Bodaboda, Wavuvi, Migodini makundi mapya kwa Maambukizi ya UKIMWI

    "Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
  4. ukwaju_wa_ kitambo

    Makundi ya Hip Hop

    Kizazi cha kuanzia kwa Mkapa chukueni hii MAKUNDI YA BONGO FREVA ENZI HIZO: 1. BDP (BIG DOG POSE) - Majobless 2. BORN CREW - Heshima ya ndoa 3. BOYZ FROM THE ARMY - Siku za hukumu 4. BWV (Boys With Voice) - Mzee mchana usiku kijana 5. CBM CREW (Check bob Maarifa) - Kipi kikusitikishacho 6...
  5. MamaSamia2025

    Hawa ndo watu wenye stress za hatari. Tuwaombee

    Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi. 4. Mtu...
  6. X

    Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  7. wasakatonge forever

    Kwa timu hizi , droo ya makundi CAFCL msimu huu hapatoshi.

    Habar za uzima wana JF Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc kwa msimu huu. Kwa upande wa cafcl kutakua na pot's 4 , :- pot 1 ;-Al ahly{Egypt}...
  8. Mi mi

    Mauaji ya Israel kwa viongozi wa makundi yaliyopo mashariki ya kati yanafanana na mauaji kwa wakomunisti wakati ukomunisti unasambaa.

    Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya viongozi wa vyama vya kisiasa vya kikomunisti vilivyo kuwa na vikundi(jeshi la mapambano) dhidi ya...
  9. M

    KWELI Elia Mpanzu kuanza kucheza hatua za Makundi inategemea na kufunguliwa kwa dirisha la usajili na ratiba ya kuanza makundi

    Kuna hili suala la Kuwa Mpanzu amesajaliwa Simba tayari japo bado haijaw wazi ila jambo linalonipa utata ni tarifa z kuwa atacheza kuanzia hatua ya makundi kwa kuwa dirisha dogo litakuwa limeshafunguliwa huku wengine wakisema haruhusiwi kucheza hatua ya makundi. Msaada wenu wakuu mtupe ukweli wake
  10. one wisow

    YANGA NDO TIMU ILIOINGIA MAKUNDI KIBABE CAFCL MSIMU HUU

    Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
  11. Tajiri Tanzanite

    Yanga yafuzu makundi kwa kuifunga matimu mabovu

    Hapo vip! Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
  12. demigod

    Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

    Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi. Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji. Sioni namna ule Moto atalio pelekewa...
  13. MLIMAWANYOKA

    ANTHONY MTAKA: Matukio ya Utekaji na uuaji hufanywa na makundi mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa

    Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza. Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
  14. L

    Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

    Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi. Jana mechi ile haikuwa...
  15. MwananchiOG

    Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

    Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi. Coefficient ya mwaka...
  16. OMOYOGWANE

    Mwambieni Yusuph Dabo kama anataka kutoboa makundi CAFCL acheze kikanuni asicheze kimazoea

    Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni, Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni. Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko, Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani...
  17. S

    Yanga kurudia historia ya mwaka 1998 ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwatoa Wahabeshi

    Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998. Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa...
  18. Webabu

    Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

    Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina. Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo...
  19. Jaji Mfawidhi

    Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  20. Yoda

    Makundi ya mkuu wa mkoa au wilaya kujikita katika kupambana na ukahaba.

    Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo. 1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
Back
Top Bottom