makundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  2. Benaire

    Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

    Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog Pose (BDP) 3: Waswahili by Nature 4: Manzese Crew 5: Wandago 6: Wateule 7: Watengwa 8: Daz Nundaz 9...
  3. F

    Huwa wanapangaje makundi hatua ya Robo Fainali CAFCL?

    Jamani, eti makundi huwa wanapangaje hatua ya Robo Fainali?
  4. Mr mutuu

    Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  5. Suley2019

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  6. Webabu

    Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika. Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa...
  7. Lupweko

    Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  8. Heparin

    Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Makundi baada ya uchaguzi hayatavumiliwa ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema haikubaliki na haitavumiliwa ndani ya CCM. Amesema kuwa ni muhimu Kiongpzi anayeshinda awe...
  9. sky soldier

    Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
  10. Mhaya

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  11. Tajiri Tanzanite

    Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

    Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika. Yanga inacheza na timu kubwa na bora...
  12. sky soldier

    Baadhi ya maumbile madogo ni wanaume ndio huyasababisha, kama upo makundi haya dawa ipo lakini uvumilivu wako ndio tiba.

    Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe. 2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa...
  13. Webabu

    Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

    Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa. Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade...
  14. M

    UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  15. Vincenzo Jr

    Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  16. J

    Hata kama Yanga atatoka makundi bado atakuwa kafikia lengo. Hakuahidi uongo kwa mashabiki zake

    Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
  17. L

    Msimu huu huenda Simba na Yanga kwenye makundi CAF champions league zikamaliza nafasi ya 3 au 4

    Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy. Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
  18. Gulio Tanzania

    Haya hapa makundi ya watanzania waliozarauliwa mitandaoni 2023

    Vijana Walimu Wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira Single maza
  19. Eli Cohen

    Border ya Kusini ya USA imekuwa crisis. Makundi ya wazamiaji yaongezeka haijawahi tokea

    Kwa kipindi hiki cha Biden, kumekuwa kuna ongezeko kubwa la kihistoria la wahamiaji waonajaribu na wengine wengi kufanikiwa kuingia USA. Kwa uchunguzi wa hivi karibuni wamegundua kuwa makundi ya uharifu na nchi nyingine wanatumia fursa hii kuzamisha waharifu, magaidi na majasusi.
  20. Sildenafil Citrate

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
Back
Top Bottom