malaika mtoa roho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

    Wakati huohuo kumekua na migogoro ya mara kwa mara tangu zamani kati ya nchi ya Israel na mataifa ya kiarabu na kiislamu ( Arab-Israel conficts ) Kwanini kwenye mapokeo ya kiislam kuna malaika Israel mtoa roho ?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Malaika mtoa roho hawezi mtoa roho mwanadamu mpaka amuombe kibali? Je, ikitokea mtu amegomea kutoa kibali itakuaje?!

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta mada ambayo ni swali kwa wasomi wakubwa, wanazuoni na wanatheolojia. Je ni kweli kuwa Malaika mtoa roho hawezi mtoa roho mhusika Hadi amuombe kibali? Natafakari kama ni kweli je ikitokea mtu amegoma kutoa kibali hicho nini kitatokea? Kuna mafungu yeyote...
Back
Top Bottom