Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeleta mada ambayo ni swali kwa wasomi wakubwa, wanazuoni na wanatheolojia.
Je ni kweli kuwa Malaika mtoa roho hawezi mtoa roho mhusika Hadi amuombe kibali?
Natafakari kama ni kweli je ikitokea mtu amegoma kutoa kibali hicho nini kitatokea?
Kuna mafungu yeyote yanayothibitisha madai hayo?
Karibuni tujifunze