malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Tanzania: President Hassan should do more to guarantee human rights after Mbowe’s release

    The release of Tanzania’s opposition leader Freeman Mbowe is a step in the right direction which must be followed by concrete and effective measures to ensure full respect for human rights including the rights to freedom of association, peaceful assembly and expression, Amnesty International...
  2. Amnesty international report Tanzania 2020/2023

    TANZANIA 2022 Serikali ilidumisha marufuku yake ya blanketi, iliyoanzishwa na marehemu rais mnamo 2016, kwa vyama vya kisiasa kuandaa mikutano na shughuli zingine za kisiasa. Jimbo liliendelea kulenga vyombo vya habari vya mtandaoni, kwa kutumia kanuni kandamizi licha ya ahadi za awali za...
  3. Jihadhari mwanamume kumnyonya mdomo mwanamke mwenye lipstick mdomoni ni hatari kiafya

    Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder), uvimbe kwenye mapafu na tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k ambayo vina link na cancer na allergy kabisa
  4. Afya ya mwanamke: Vitu vitano mwanamke anatakiwa kujua katika sehemu zake za siri

    kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
  5. Bakteria wa mdomo wanaohusishwa na kuwashwa kwenye uke

    Bakteria wanaosababisha ugonjwa wa kuwashwa kwenye uke waliozunguka seli Tendo la ndoa kwa kutumia kinywa kunaweza kusababisha mazingira ya maambukizi ukeni, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye jarida la bailojia la PLoS Kuwashwa kwenye uke sio ugonjwa unaotokana na ngono. Badala yake...
  6. Fahamu sababu, tiba ya muwasho sehemu za siri

    Sehemu ya uke iliyoathirika kwa viuvimbe kutokana na ugonjwa unaosababishwa na na virusi ujulikanao kama Human Papillomavirus (HPV). Ni moja ya magonjwa yanayosababisha muwasho sehemu za siri. Picha kwa hisani ya Taasisi ya Mutrition Facts. Muktasari: Gazeti hili limepokea maswali mengi kuhusu...
  7. Hongera madaktari wa Tanzania kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwaokoa wagonjwa

  8. Vyakula vya asili hatarini kutoweka

    VYAKULA VYA ASILI HATARINI KUTOWEKA Aina 26 za vyakula vya asili nchini Tanzania vipo hatarini kutoweka kutokana na watu wengi kukimbilia vya kisasa ambavyo baadhi vina athari kwa afya. Mratibu wa Mradi wa Shirika la Slow Food Kanda ya Kaskazini, Lyne Ukio alisema hayo jana katika kilele cha...
  9. Sheikh Kishki amfundisha Lema Alifu kwa kijiti

  10. Milk And Garlic Is A Cure For Asthma, Tuberculosis, Pneumonia, Insomnia, Heart Issues, Cough, Arthritis And More

    Milk And Garlic Is A Cure For Asthma, Tuberculosis, Pneumonia, Insomnia, Heart Issues, Cough, Arthritis And More! This food combination sounds really strange we know but, it is worth a try. Many fruits, veggies or spices are used as cures when combined right and there won’t be any other need...
  11. Herbs for natural flat tummy

    HERBS FOR NATURAL FLAT TUMMY Belly fat is stubborn and clings on and around the stomach, giving an odd look to your figure. Dieting is not the only solution to losing belly fat, as this might harm your body in one way or another. Just by following some home remedies and cutting junk food from...
  12. Je, wajua Sinema ya "The Gods must be Crazy Movie"

    Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie" Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200 milioni. Alikufa akiwa maskini mnyonge licha ya kutengeneza mamilioni ya dola kwa ajili ya watu wengine...
  13. Donald Trump: Vitu 8 ambavyo hakuvijua kuhusu rais huyo wa zamani wa Marekani

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Donald Trump 5 Oktoba 2022 Kuna vitu vya ajabu ambavyo vimejitokeza kuhusu rais huyo wa zamani kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Confidence Man cha Maggie Haberman kilichozinduliwa siku ya Jumanne. Kitabu hicho kinaangazia muda wa Donald Trump...
  14. Donald Trump 2024: Mambo sita yanayoonesha kwanini ni vigumu kushinda uchaguzi safari hii

    Donald Trump ametangaza azma yake ya kuwania urais kwa mara ya tatu, katika jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kuingia tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika uchaguzi. Wasaidizi wa rais huyo wa zamani wanasema tangazo hili - na kampeni hii - itaonekana zaidi...
  15. Trump awaambia wafuasi wa Republican ni yeye pekee anayeweza kushinda uchaguzi wa 2024

    ReutersCopyright: Reuters Wawaniaji wa urais wa chama cha Republican wameshiriki jukwaa moja kwa mara ya kwanza katika kinyang'anyiro cha Ikulu ya Marekani 2024 kwenye hafla ya kampeni ya Iowa. Wapinzani wakuu Donald Trump na Ron DeSantis waliongoza hafla ya wa kila mwaka ya chama cha...
  16. Wagner wanaweza kujifanya kama wahamiaji kuingia EU - Waziri Mkuu wa Poland

    Wapiganaji wa Wagner nchini Belarus wanaweza kujifanya wahamiaji na kuingia EU, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki ameonya. Wagner pia wanaweza kunaweza kuchangia uhamiaji haramu kutoka Belarus, ambayo Poland inaelezea kama "vita vya mseto", anasema. Takriban wapiganaji 100 wa Wagner...
  17. Mapinduzi Niger: Makao makuu ya chama tawala yashambuliwa baada ya Rais Bazoum kuondolewa madarakani

    CHANZO CHA PICHA,EPA 28 Julai 2023 Wafuasi wa mapinduzi ama watu wanaounga mkono mapinduzi nchini Niger wameyashambulia makao makuu ya chama cha rais aliyepinduliwa na kuyachoma moto, kurusha mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje. Kikundi kidogo cha wachomaji moto kilikuwa kimejitenga na kundi...
  18. Marekani yatoa 'msaada usio na kikomo' kwa rais aliyeondolewa madarakani Niger

    CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo ya picha, Rais wa Niger Mohamed Bazoum Maelezo kuhusu taarifa Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay Nafasi,BBC News, Niamey & London 29 Julai 2023, 10:27 EAT Marekani imetoa "uungaji mkono wake usio na kikomo" kwa rais aliyepinduliwa nchini Niger...
  19. Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi

    Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 28 Julai 2023 Wakati Rais Vladimir Putin akifungua mkutano wa kilele wa Urusi na Afrika mjini St Petersburg leo Alhamisi, orodha ya waliohudhuria inatazamwa kwa karibu - huko Paris, Washington, London, na...
  20. Ikiwa nyoka ataingia nyumbani kwako, fanya hivi

    Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…