malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mzungu awajaribu Wa-Tanzania wanaoishi Amerika

    Mzungu awajaribu Wa-Tanzania wanaoishi Amerika. Mzungu amewaomba wampe chakula wao Wa-Tanzania wamesema chakula hawana. Ila wamempa pesa aende Mzungu kula MC DONALD matokeo yake Mzungu amewapa Dollar 1000 kama zawadi yao kwa nia njema ya kutoa pesa japo kidogo. Mungu anasema toa japo kidogo...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maradhi ya kifua kikuuu aka tuberculosis

    Kifua kikuu (kwa Kiingereza tuberculosis, kifupi TB) ni ugonjwa wa kuambukizwa ulio hatari. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium tuberculosis.[1] Kifua kikuu kwa kawaida kinaathiri mapafu, lakini pia kinaweza kuathiri sehemu nyingine za...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi

    The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi. https://www.youtube.com/watch?v=YSMqoQg6554&ab_channel=CitizenTVKenya
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nigeria: Mwanamke ajifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa bila mtoto

    Mwanamke wa Nigeria Obinuju Anthonia Ibeanu, amejifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa. Ripoti zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zilifichua kuwa mwanamke huyo alikuwa ameolewa kwa zaidi ya miongo miwili lakini hakubahatika kupata mtoto katika kipindi chote hicho. Kwa bahati nzuri...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Common Foods That Contain Natural Poisons That Can Cause Death Or Harm Your Health

    Common Foods That Contain Natural Poisons That Can Cause Death Or Harm Your Health. According to the World Health Organization (WHO), certain naturally occurring toxins are created in food as a type of defense mechanism to protect plants from animal infestation and consumption. These toxins can...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Alichokisema Socretes kuhusu Demokrasia zaidi ya miaka 2000 iliyopita

    Alichokisema Socrates kuhusu demokrasia zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Alisema kuwa demokrasia lazima ianguke kwa sababu itajaribu kurekebisha kila mtu. Masikini watataka utajiri wa matajiri, na demokrasia itawapa. Vijana watataka kuheshimiwa kama wazee na demokrasia itawapa. Wanawake watataka...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hizi ndio faida 5 za machungwa kwa afya yako

    Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako. Machungwa ni nini? Chungwa ni tunda la mchungwa. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utaifiti: ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, unahusishwa na matatizo ya utasa miongoni mwa wanawake

    Maelezo ya picha, Mwanamke akila burger na vibanzi Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari bila ya kutumia matunda kwa wingi, yumo kwenye hatari ya kutopata uja uzito, utafiti unasema. Utafiti uliofanyiwa wanawake 5,598, uliwapata wale ambao wana mazoea ya kula...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vyakula hivi vitano ni hatari zaidi kwa uhai wako

    Maelezo ya picha, Maharage Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi kunaweza kuhatarisha maisha yako na kusababisha...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fahamu kwanini ni muhimu kula matunda na maganda yake

    Baadhi ya watu wengi, wanapotayarisha matunda na mboga mboga wana mazoea ya huzimenya. Hata hivyo, mara nyingi sio lazima. Kuna virutubisho muhimu kwenye maganda. Kando na hilo, maganda ya matunda na mboga yanatupwa huchangia mabadiliko ya hali ya hewa. Matunda na mboga ni vyanzo vikuu vya...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fahamu tunda lenye uwezo wa kuimarisha tendo la ndoa

    Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinjwaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake. Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo. Vinavyopatikana ndani ya tunda la zabibu vinafanyiwa majaribio ili kuona jinsi vinaweza...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Analyzing President Samia’s Stance on DP World Deal: Seizing Opportunities for Tanzania’s Development

    Amidst a morning of discomfort, I embraced the resourcefulness of a true Tanzanian, opting for over-the-counter painkillers instead of a hospital visit. Guided by a spirit of ingenuity, I found myself meandering towards a charming pharmacy nestled along Viwandani Road in the enchanting enclave...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Carbon Trading Symphony: Tanzania and UAE Dance Towards Green Prosperity

    Print or Email This Article As I dive into the depths of Twitter, indulging in one of my guilty pleasures, I stumble upon a hidden treasure buried within Elon’s app. A tweet from June 20 ignites my curiosity like a spark in the dark. The essence of the tweet can be loosely summarised as follows...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tanzania’s Gold Reserve: What A Strategic Asset! A Path to Resilience

    Tanzania’s decision to establish a National Gold Reserve to strengthen its local currency comes at a time when global central banks are turning to gold as a safe-haven asset. As Africa’s fourth-largest gold producer, Tanzania’s focus on retaining its gold output within the country raises...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rostam Aziz Bilionea waTanzania anayemiliki LPG

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mafuta ya mbegu ni hatari kwa afya ya moyo

    Mafuta mazuri ya kupikia yenye kukulinda na magonjwa ya moyo, hayana cholestrol ndani yake yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” kitalamu huitwa “Seed oils” au Polyunsaturated Fatty Acid oils (PUF Oils). Je Kuna ukweli kuhusu hilo? Kwamba Mafuta yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” Je:–...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nawakumbusha tu: Miaka hiyo tuliimba tu kama kujifurahisha wala hatukujua maana yake

    NAWAKUMBUSHA TU 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinjwa, kifo...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwanini polisi nchini Urusi wanaacha kazi na kujikita katika nyanja zingine?

    Imeandikwa na OLESYA GERASIMENKO / Ikahaririwa na LORNA HANKIN / Ikahakikiwa na BY SAM HORTI CHANZO CHA PICHA,AFP Katika nyakati za alfajiri mnamo tarehe 14 Januari mwaka 2020, vilio vilisikika katika jumba la ghorofa katika wilaya ya kusini mwa Urusi Leningradsky. Akiwa ameshtuka na kuogopa...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Siri za ndoa: Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
Back
Top Bottom