Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya machungwa.
Kiwango cha joto cha pilipili kengele (pilipili hoho) kinapimwa katika vitengo vya joto...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Maharage huwa na rangi na aina mbali mbali
Binadamu wanakabiliwa na vitisho vingi, kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa, utapiamlo hadi kupanda kwa gharama ya maisha. Je, maharage yanaweza kuwa jibu la matatizo ya kimataifa?
Jamii hii ya kunde ni...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu kabisa sehemu hii muhimu ya mwili wetu kila wakati tunapotumia dawa za antibiotiki?
"Viini vya bakteria...
Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo.
Virutubisho katika papai
Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C...
CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE
Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali duniani wanaamini kwamba kunywa mkojo wako kuna manufaa kwa maisha 'ya kiafya'.
Lakini Je, kuamka...
CHANZO CHA PICHA,SCOTT FRANKS
Maelezo ya picha,
Leah Cambridge alikumbwa na mshtuko wa moyo mara tatu alipokuwa amedungwa sindano ya ganzi katika kliniki ya Uturuki.
Mwanamke wa miaka 23 amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji...
CHANZO CHA PICHA,NATASHA KERR
Maelezo ya picha,
NATASHA KERR
Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, kufuatia vifo kadhaa.
Melissa Kerr, 31, alikufa katika Hospitali ya kibinafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul...
Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina?
Vita vya kutisha vinaendelea kati ya Israel na Hamas kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Maelfu ya watu kutoka pande zote mbili wamepoteza maisha. Mwisho wa vita hivi haujuulikani.
Vizuizi vya kufikia makubaliano ya kumaliza vita vimekuwepo kwa...
Watoto watano wa familia moja Kijiji cha Nyakanazi wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wamekufa baada ya kula chakula kinachohofiwa kuwa na sumu huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu hospitali teule ya Biharamulo.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera Brasius Chatanda amesema kuwa...
Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo.
-----
Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE/REX/SHUTTERSTOCK
26 Oktoba 2023
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, alielezea wasiwasi wake kuhusu "ukiukwaji wa wazi wa sheria ya kimataifa ya kibinadamu huko Gaza," na kusisitiza kwamba "hakuna upande wowote katika mgogoro wa silaha ulio juu ya sheria...
Ilikuwa mwaka wa 1948. Tangu wakati huo, vita vya Waarabu na Waisraeli vilianza. Tangu wakati huo, vita vya Palestina havijakoma.
Chini ya miaka hamsini iliyopita mnamo 1973, vita vya tatu vya Waarabu na Israeli vilifanyika. Tangu wakati huo Israeli haijapigana moja kwa moja na mataifa ya...
Maelezo kuhusu taarifa
Simu ya Mahmoud Shaheen iliita alfajiri. Ilikuwa Alhamisi tarehe 19 Oktoba karibu saa 12:30, wakati Israel ikiendelea kuishambulia Gaza kwa siku 12 mfululizo.
Akiwa katika ghorofa ya tatu, kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala huko al-Zahra. Ghafla alisikia kelele...
Kuvunjika kwa uume ni tatizo la kawaida miongoni mwa wanaume, licha ya kwamba tatizo hili halizungumzwi sana.
Kuvunjika kwa uume kuna uwezekano mkubwa wa kutokea pale unapogonga mguu au sehemu ya siri ya mwanamke wakati wa kujamiiana.
Ikiwa tatizo hili halitatibiwa kwa wakati, linaweza kuathiri...
Amerika amepeleke Majeshi 10.000 nchini Saud Arabia . Je anajiandaa Kupigana vita nani? Iran Au Yemen Au Hezbollah? Ninajiuliza Swali mpaka sas sijapata jibu lake hebu nijibu hilo swali kama unaweza kulijibu.
US President Joe Biden speaks to United Auto Workers at the Community Building Complex of Boone County, November 9, 2023, in Belvidere, Illinois. (AP Photo/Paul Beaty)
US President Joe Biden welcomes the Israeli decision to formalize and broaden humanitarian pauses to its fighting in Gaza...
Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis).
-Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa.
Dalili muhimu za ugonjwa huu
-ni kupatwa na maumivu ya mara kwa mara ya mifupa, hasa sehemu ya mgongo...
MATATIZO YA AFYA YA AKILI.
-Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19, takriban mtu 1 Kati ya 8 Duniani kote walikumbwa na matatizo ya kiakili, hata hivyo Msaada sahihi wa miundombinu na kiuchumi kwa ajili yao, ulikosekana
-Matatizo ya afya ya akili yapo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.