malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utafiti: Vyakula vya kusindika huleta saratani

    CHANZO CHA PICHA,EPA Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani. Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa vinasindikwa sana. Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vinasaba DNA vya wanyama aina ya Tasmanian devil, vyaonyesha shara za kudhibiti saratani

    Share IMAGE SOURCE,MENNA JONES Image caption, Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya uso inayotishia wanyama hao. Ikiwa ni moja kati ya aina tatu za maambukizi ya saratani yanayoweza...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mambo 10 unayoweza kufanya kupunguza hatari ya kuugua saratani

    Maelezo ya picha, Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani - #WorldCancerDay - kupiga vita saratani kwa kuongeza uhamasisho kuhusu umuhimu wa kutambua mapema na...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Saratani ya Ovari : Kuvimbiwa mara kwa mara inaweza kuwa dalili

    Maelezo ya picha, Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona daktari licha ya kuwa na dalili kubwa, wasema utafiti shirika la kupambana saratani ya Ovari-Target...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utafiti: Aspirini huenda ikasaidia kutibu saratani sugu ya matiti

    Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema. Kundi la wataalamu wa Wakfu wa Christie NHS Trust, mjini Manchester, limeanza kufanyia majaribio wagonjwa wa saratani ya...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jinsi tiba ya saratani ya dhahabu, ubani na manukato inavyohusishwa na Yesu Kristo

    10 Januari 2022 Maelezo ya picha, Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi inaelezea kuwa wanaume wenye busara walikuja na kumpatia mtoto Yesu dhahabu, ubani na manukato...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Waswahili wa Uingereza Njooni Msikilize Kichambo chenu Hichoo Hahahahahaha

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maabara feki za Watu binafsi Mganga Mkuu wa Manispaa amkamata daktari feki

  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Haya ndio maisha ya Ulaya kipindi cha baridi; hakuna kulala huku, ni mwendo wa kazi tu

  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maneno makavu ya Rais Magufuli ambayo yametolewa Leo wakati Rais samia akiwa makamu'mimi sibembelezi

    https://www.youtube.com/watch?v=SAseTq_131k&ab_channel=Linconmedia
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vichwa vya Habari Vya Miaka 10 ijayo

    TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani. GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tujikumbushe Mwaka 2022 Kauli Tatanishi za Rais Samia Suluhu Hassan Kuhusu Bei ya Umeme

    Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme. Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa karibu wote ni wasanii.
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Usiombe yakukute haya

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Zijue Athari Za Kula Chipsi, Moja Kati Ya Chakula Pendwa Zaidi Duniani

    Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fahamu Makundi Matatu Ya Ugonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

    KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo: 1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo. Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jinsi Ya Kukabiliana Na Tatizo La Kuvurugika Mzunguko Wa Hedhi

    TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi. Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili kwamba kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi hivyo ni...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Baba Mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi? Jifunze kitu kutokana na hii hadithi

    Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa. Ndiyo kwanza tulikua tumetoka kuzunguka Mlimani City kwaajili ya kuwanunulia wanangu watatu zawadi na tulikaa kidogo ili kunywa Juice...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli

    Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli.
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    SUA wanavyotumia bundi kudhibiti viumbe hai waharibifu

    BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na mara nyingi hutumia mchana kupumzika. Ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kusikia mirindimo ya sauti iliyo ndogo kiasi kwamba binadamu hawezi kuisikia. Huwasikia na kuwavamia...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Saratani ya utumbo mpana, haja kubwa tishio kwa jamii

    SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Hellen Makwani anasema ni saratani ambayo huanzia kwenye utumbo mpana na kazi ya...
Back
Top Bottom