Je Sheria ya nchi inasemaje ? soma hapo chini 👇
ASalam Alaykum,
Hongera nyingi sana kwa ndugu yetu wa imani ya kiislamu kwa jihad kubwa aliejitolea wa ujasiri mkubwa kuongea hayo bila oga na hatimaye natija yake ameamsha usingizi hisiya ya siyo ya viongozi na Mashekh wetu tuu bali hata...
STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani?
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku.
Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa)...
Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
Chui huja kila usiku kukutana na ng'ombe na ng'ombe huramba kichwa chake.
Mwanaume huyo alizungumza na mmiliki wa awali wa ng’ombe huyo na kugundua kuwa mama chui alifariki akiwa na umri wa siku ishirini tu na tangu wakati huo ng’ombe alimlisha chui huyo kwa maziwa yake. Kwa hivyo, chui...
Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji.
Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka, wanayatumia watu halafu unarudi kuwa kama Mwanzo.
Subhana Allah wa Bihamdih
Subhana Allah Aladheem
Hii ni habari kubwa na nzito.
Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume. Ushahidi unaweza kuwa sauti, video au nyaraka.
Ingia kwenye website hii utume.
==========•••••••
This is...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Na Laith Issam
Nafasi,BBC News Arabic
9 Januari 2024
Madai kwamba vuguvugu la Hamas ulikuwa mradi wa Israel yamekuwa yakisambazwa kwenye vyombo vya habari na wasomi - tangu wapiganaji hao wawaue na kuwateka nyara Waisraeli tarehe 7...
10 Januari 2024
Na Charlie Northcott, Helen Spooner & Tamasin Ford
BBC Africa Eye
BBC inafichua jinsi kiongozi wa kanisa kuu marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono kwa wingi, alimfungia bintiye mwenyewe na kumtesa kwa miaka kadhaa kabla ya kumwacha bila makao katika mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.