DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU.
1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA
Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha tukaenda tukaruka kama ndege. Ikiwa story hizi anazieleza mara kwa mara usidharau ukasema ndoto tu...
NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI
Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu
wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi...
BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON.
https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua dereva katika moto.
kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo.
Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
"...uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa zako na marafiki zako, Ikulu ni mahali patakatifu,
Mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Watanzania kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi.."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.