Luhaga Mpina: Trilioni Zetu 360 Zipo Wapi? Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3.
"Tunazo trilioni 360 zimeshikiliwa na Mahakama uamuzi haujatoka, nilitegemea kwenye mpango hapa isemwe hela hizo ziko wapi. Leo bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3 tulizopewa na IMF mpaka mikono...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango kwa Watanzania na fursa za Taifa kunufaika kiuchumi.
Msuya ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Mei...
NDOTO ZA UTAJIRI
1. 777
-Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA.
Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k
3. Kuokota pesa za sarafu za zamani.
4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa.
5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
“Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki
Nchi hizi mbili zinafanya kazi pamoja katika nyanja nyingi
Tanzania na Uturuki wana ushirikiano mzuri wa kidiplomasia I Picha
Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mheshimiwa Lt Jenerali (Mst)
kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini...
Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania
Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan imetangaza kuwa inajenga setelaiti yake na tayari harakati zimeanza.
Na Lulu Sanga
Kwa mara ya kwanza...
‘Biased Western media trying to influence decision of Turkish voters’
Several Western-based publications have been accused of biased reporting, with suggestions that this is an attempt to influence the voting behaviour of the Turkish public.
AA
"Turkish people will show these news outlets that...
Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
========
Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka
-
Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
amavubi gfsonwin
bado
hii
kenya
king'asti asprin
kufa
kufunga
kufunga hadi wafe
kutoka
kutoka kenya
maiti
malcomlumumbamshanajrjingalaomsemajikweli
mbinguni
njaa
polisi
tanzania
tena
wafa
waliofunga hadi kufa
waumini
Mimi thread zangu ni check and balance kati ya Awamu ya Sita na ile ya Tano, leo ngome ya vijana ya ACT wazalendo ilipanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa mama yao kipenzi rafiki wa demokrasia, diplomasia na maendeleo aliyekuja kuwapa uhuru walio ukosa kwa miaka sita ya Magufuli.
Wamekutana...
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU
Watu Hula Maganda ya Ndizi.
Wewe Unazijua Faida Zake?
How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber, vitamin c, magnesium and potassium.
Bila shaka hujawahi kuona mtu akila maganda ya ndizi kutokana na...
Imamu aliyeteka vichwa vya habari mitandaoni siku za hivi karibuni kupitia video fupi iliyosambaa ikimuonyesha akirukiwa na paka mabegani wakati akiwa anaswalisha swala ya Taraweeh ametunukiwa tuzo.
Tukio hilo ambalo liliibua hisia za watu mbalimbali baada ya kumuonesha Imam huyo kutoonyesha...
Shule ya msingi Sekaza Memorial iliyopo kata ya Kiringente, Wilaya ya Mpigi nchini Uganda imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia taarifa kuwa kuna mapepo yanawashambulia wanafunzi.
Uongozi wa shule hiyo umesema baadhi ya wanafunzi katika wiki kadhaa zilizopita hawakuweza kuhudhuria masomo...