malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Grahams

    Mwaka Mpya 2021 umeanza; umejiwekea Malengo yapi? Malengo yangu niliyojiwekea ni haya

    Salaam, Mwaka 2020 umeisha na sasa tumeanza Mwaka Mpya 2021. Wengi mtakuwa mlijiwekea malengo mbalimbali yawe makubwa, ya kati au madogo kwa mwaka uliopita, lakini kwa sababu mbalimbali kuna mliofanikiwa kuyatimiza na wengine mkashindwa kuyatimiza. Sizungumzii kuhusu malengo ya kuoa au kuolewa...
  2. M

    Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

    Wakuu salaam! Mwaka 2020 Nimeamua na nimedhamiria kuacha mambo haya: 1. Pombe 2. Umalaya 3. Ku-bet Hii combination inafanya natumia zaidi ya laki 6 kwa mwezi wakati kipato changu ni chini ya 500k, najikuta katika madeni ya kijinga kijinga. Nimedhamiria kumrejea Muumba, yaani kwa dhambi...
  3. Youth Worker Tanzania

    Faida ya kuandika malengo

    Wakuu Habari, Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi ya Uhai na salama . Leo niandike jambo kuhusu kuandika Malengo Mwanzo niliamini ni maneno tu kama yalivyo mengine hasa yale yanayosemwa na Inspirational na motovational Speakers, ambao hivi karibuni wamekuwa wakidhihakiwa kama...
  4. PAZIA 3

    Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  5. E

    Hali mbaya ya maisha wengi tunayopitia ni mapito kuelekea maendeleo ya kweli au tunapotezeana malengo na muda?

    Nina miaka kadhaa inayoniruhusu kuwa na familia, lakini pamoja na elimu yangu, sina hela ila nina deni kama la milion 14 hivi ninazodaiwa na bodi ya mikopo, hapo sijaweka zaka ambazo sijui nilitoa lini? Kiukweli moja haikai wala mbili haisimami, Maisha ni magumu, rafiki yangu mwajiriwa na mnazi...
  6. D

    Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

    Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho! Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo. Ugeni huo uliojumuisha watu wawili...
  7. C

    Uchaguzi 2020 Ni mpambano kati ya muweka msingi wa maendeleo ya kweli kwa miaka mingi ijayo dhidi ya mkurupukaji mwenye malengo mafupi yanayotegemea uwepo wake?

    Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums, Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua yafuatayo: Tundu Lissu ni mgombea mwenye maono ya mbali na mwenye malengo ya muda mrefu wakati John...
  8. CHIPESI NAMISUKU

    Uchaguzi 2020 Malengo ya vyama uchaguzi mkuu 2020

    Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu. 1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar zilikuwa Ni za CCM VS CUF lakini CUF hii iwe chini ya Maalim Seif. Kwa hiyo Mambo yanavyooneka Ni kuwa CUF...
  9. CUF Habari

    Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

    TAARIFA KWA UMMA UCHAMBUZI WA BAJETI YA 2020/2021: MALENGO YA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO YAMEFIKIWA?
  10. Chief Kabikula

    Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

    Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi Kuna Ndugai anadai kuna...
  11. S

    Nchi za kiafrika kupewa unafuu wa kulipa madeni bila mashariti,kuna hatari malengo yasitimiea na nafuu hiyo kutumika kutimiza vipaumbele vya watawala

    Nashauri nchi wahisani na taasisi za fedha za kimataifa kuja na mpango maalumu wa kuhakikisha unafuu wa kulipa madeni ulitolewa unakuwa na mashariti maalumu kwa nchi zote zilizopata unafuu huo. Nasema hivi kwasababu inawezekana kabisa kwa baadhi ya nchi zetu za kiafrika kutumia unafuu huo...
  12. Mema Tanzania

    Siku ya wanawake duniani ina maana gani? Chimbuko, Malengo na Kumbukumbu zisizosahaulika

    #TatuZaJumatatu SIKU YA WANAWAKE DUNIANI INA MAANA GANI | CHIMBUKO LAKE Mwaka 1908 kulitokea mtafaruku na mjadala mkubwa kuhusiana na wanawake ikumbukwe miaka hiyo kulikuwa na unyanyasaji na kutokutambulika kwa haki za wanawake hali iliyopekea wanawake kuanza kupaza sauti na kuendesha kampeni...
  13. J

    Dr Kigwangala: Sekta ya utalii hatutafikia malengo ya mapato, itabidi tujipange upya virusi vya korona huko China vimetuangusha

    Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo. Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
  14. Mo makambako

    Shairi: Walipoipata mali

    Walipo ipata mali, wakaingia mjini Wakamtupa jalali, jembe na wake mpini Wakaponda zote mali, na warembo limbukeni Wakachana daftari, kupoteza taarifa Walikula na kusaza, wakaota na vitambi Meza wakatandaza, kwa peza za rambi rambi Rambi rambi zake faza, aliewaeleza kwamba Kama mnataka mali...
  15. M

    Je, nani amekwamisha malengo yako mwaka 2019 yasitimie?

    Mwaka ndio huo tunauaga (unatuaga?) leo. Nina uhakika kila mtu alijiwekea malengo yake katika maisha yake. Mimi pia nilikuwa na malengo ya kwangu. Kwa kila mtu pengine kuna hatua fulani ya malengo yako umeyafikia, ama pengine kuna sehemu (kubwa au ndogo) umekwama kufikia kile ulichokuwa...
  16. Makirita Amani

    Kama unataka kufanikiwa 2020, achana na malengo na kazana na kitu hiki kimoja

    Huu ni ule wakati wa mwaka ambapo kuna kelele nyingi sana kuhusu malengo. Watu wanaulizana mwaka umeisha na umefanya nini na wengine wanahamasishana kuanza kuweka malengo ya mwaka mpya mapema. Nasema hizi ni kelele kwa sababu karibu kila mtu huwa anajiwekea malengo mwanzoni mwa mwaka. Kila mtu...
  17. CONTROLA

    Kuajiriwa sio dhambi, angalia malengo yako na epuka malipo ya mwisho wa mwezi

    Kuna kitu kinachanganya sana watu wasio na ajira/waliomaliza vyuo wanaotamani siku moja kuwa wafanyabiashara wakubwa na wajiendeshe sio kuendeshwa, akili zao zinasikia mengi sana kitu kinachopelekea kubaki njiapanda sasa leo acha nifafanue kitu kimoja kwa faida ya nyie ambao hamuelewi tunaposema...
  18. beth

    Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
Back
Top Bottom