Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo.
Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
habari ndugu zangu
chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu...
Habari za wakati huu;
Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna wakati yanakuwa nje ya uwezo wetu. Ili kuishi maisha yako ni muhimu na lazima kuwa na mipango au...
SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO
"Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
Uunganishwaji wa wateja katika huduma muhimu ya nishati ya umeme na TANESCO kumeonesha kupungua kutoka mwaka 2015/16 na kufikia chini ya malengo mwaka 2017/18 kabla ya kuanza kupanda tena mwaka 2018/19.
TANESCO wametaja kutokuwepo kwa malighafi kuwa ni sababu ya kushindwa kufikia malengo mbali...
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu.
kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.
Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL.
Huyu Pablo Franco hajawekewa...
Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
Moja ya tafiti ambazo zimefanywa na baadhi ya watu waliofanikiwa duniani iligundua kuwa watu wengi sana duniani wanashindwa kufikia MALENGO na NDOTO walizonazo kwa sababu zifuatazo;-
1: Watu wengi uweka MALENGO ambayo hayajausanishwa na kile wanachokifanya kila siku inaweza kuwa biashara na...
Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom.
Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao.
Mjasiriamali ni nani?
Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda.
Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia malengo yako ,Sayansi mara nyingi haidanganyi kivipi? kipindi kizuri na kipindi kibaya sana kwa...
Habari za wakati huu wapendwa natumai wote ni wazma wa afya na karibuni kujifunza juu ya mambo yanayoweza kumfanya kijana aweze kutambua uwezo/kipaji na ndoto yake na kufikia malengo yake.
Kijana ni nani?
Kijana ni mtu wa kike au kiume mwenye umri kati ya miaka15-45 kulingana na biblia...
Dunia hii ina watu wanaoongoza mambo yote makubwa, kama vile uchumi, elimu, majeshi, sayansi, nk.
Kwa bahati mbaya sana, watu hawa wana malengo maovu mno, licha ya kuwa wao ni kikundi kidogo sana. Lakini baya zaidi asilimia zaidi ya 90 ya wanadamu hawana habari na kile kinachoendelea. Wakubwa...
Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo.
Mimi ni kijana niliomaliza shahada ya ualimu mwaka 2019 ambapo baada ya kumaliza Chuo na kusubiri ajira takribani mwaka mmoja...
Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari.
Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na Mabango Mengi kuelewesha umma nini hasa alichopigania. Nyimbo zikaimbwa za kutoa ELIMU na kumsifu. Hata...
KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba.
Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.