malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Usiogope kupambania malengo yako, kisa uoga wa kutofanikiwa

    Sasa nisikilize! Leo nitawaambia mambo kadhaa ambayo naamini yanaweza kukufanya ufahamu ni kwa namna gani kuna watu wanatake risk kwenye mabiashara yao makubwa, wewe si unaogopa! Basi poa. Kwenye hii dunia mpaka sasa hivi hakuna mtu anayejua kutengeneza kiki kama Kanye West! Hapa kuna watu hata...
  2. Innocent Ngaoh

    Nani kakuambia huwezi kutimiza malengo yako?

    Hivi unajua unaweza Kutimiza Malengo Yako kama utaamini unaweza kufanya hivyo na tofauti na hivyo itakuwa vigumu. Kushinda au kushindwa kunaanzia ndani ya fikra zako. Kabla ya kuona uhalisia wenyewe, Je, fikra zako ni za ushindi au kushindwa? Kila mtu unayemuona kwenye dunia hii ana masaa 24...
  3. Intelligent businessman

    Usiogope kupambania malengo yako, kisa uoga wa kutofanikiwa

    Sasa nisikilize! Leo nitawaambia mambo kadhaa ambayo naamini yanaweza kukufanya ufahamu ni kwa namna gani kuna watu wanatake risk kwenye mabiashara yao makubwa, wewe si unaogopa! Basi poa. Kwenye hii dunia mpaka sasa hivi hakuna mtu anayejua kutengeneza kiki kama Kanye West! Hapa kuna watu hata...
  4. benzemah

    Miaka miwili ya Rais Samia: Halmashauri zavuka malengo ukusanyaji mapato

    Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa. Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
  5. Webabu

    Rais Xi asema malengo yao na Urusi ni mamoja

    Wakati mpango wa ziara ya raisi wa china ndugu XI ulipowekwa wazi viongozi wa Ukraine na Marekani walimuomba kiongozi huyo akifika Urusi amsisitize raisi Putin kusitisha vita ambavyo vimeshavuka mwaka mpaka sasa. Kwa bahati mbaya Xi alipofika huko alikuwa na mazungumzo ya kuimarisha umoja baina...
  6. Kwitogelo

    Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
  7. ChatGPT

    Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  8. J

    Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali

    Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasisitiza Wajumbe wa Menejimenti na watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo ya Serikali...
  9. Crocodiletooth

    NMC wakati wa Mwalimu Nyerere ilikuwa na malengo zaidi ya malengo!

    Nimejikuta leo hii nalikumbuka shirika letu hili pendwa la NMC, nikajisikia vibaya sana, ukizingatia malengo ya NMC, Ilikuwa ni pamoja na kununua mazao mashambani kwa bei isiyo ya kumuumiza mkulima, ku process au kuchakata mazao hayo kama ni unga au la na kuuza bidhaa iliyo kamili, kwa...
  10. R

    NI kwamba moja ya malengo yaliyoainishwa kwenye ilani ya CCM ni pamoja na kuimarisha mazingira ya KUBET?

    Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani...
  11. Kyambamasimbi

    Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  12. M

    Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  13. M

    Malengo yangu 2023 yasipotimia yanabaki ni malengo yangu ya maisha

    ‭Kwa mwaka 2023 nimejiwekea malengo yangu haya; Kununua kiwanja cha biashara (nina viwanja na nyumba kwa ajili ya makazi) 2023 nimeupa rasmi ni mwaka wa mandalizi ya kuongeza biashara nyingine hivyo ntapambana ninunue uwanja either for guest house au kiwanda kidogo, sijui itakuwa biashara...
  14. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  15. Gotze Giyani

    Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

    Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada. Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
  16. T

    Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  17. kitalembwa

    Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

    Well ni December, tunaumalizia mwaka! Kila mmoja kwa namna yake kuna malengo alijiwekea, yametimia? Kama ndiyo kwa asilimia ngapi? Na kama bado kwa nini? Wapi ulifeli? Binafsi niseme malengo hayakutimia kwa 95%, kuna biashara ipo somewhere, vijana wanaharibu mwanzo mwisho. Kwa huu mwaka...
  18. BigTall

    UN: Nchi za Afrika hazina malengo ya kupunguza vifo vinavyotokana na maambukizi ya VVU

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imebainisha hayo katika ripoti ya kufikia lengo la kimataifa la kupunguza vifo vinavyotokana na VVU ifikapo mwaka 2030. Lengo ni kuwa ifikapo mwaka huo 90% ya wanaoishi na maambukizi wawe wanajua hali zao, 90% wenye VVU wawe wanatumia dawa na 90% wawe katika...
  19. Jackal

    Mtoto wa miaka 8 aomba kazi apate pesa ya kutimiza malengo yake

    8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's) LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows the value of hard work and its rewards. This is why he had no problem applying for a job as a...
  20. amshapopo

    Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
Back
Top Bottom