malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titicomb

    Kura ya maoni kujiunga Urusi, tangazo la kuongeza askari wa akiba: Maneno ya Putin yanatimia kuhusu malengo ya uvamizi wa Ukraine?

    Habari wana JF, Siku nyingi zimepita sijaandika mjadala(thread) humu jukwaani. Leo nimesukumwa kuandika mtazamo wangu juu ya kinachoendelea nchini Ukraine wakati huu wa vita dhidi ya uvamizi wa Urusi(Russia). Raisi Vladimir Putin mara kwa mara amekuwa akirudia kusema malengo yote ya nchi yake...
  2. Chaula_J

    SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
  3. Narumu kwetu

    German imefikia malengo yake ya kuhifadhi gesi kwa 75%

    German imeweza kufikia kiwango chake cha uhifadhi wa gesi kwa asilimia 75% .kiwango ambacho ni cha juu kabisa ,kuweza kukabiliana na kipindi cha majira ya baridi. Kweli hawa jamaa wajanja walijifanya wanalialia kumbe wanataka waweke akiba,nilishangaa sana mzungu si mzembe kiasi hicho. Russia...
  4. Komeo Lachuma

    Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  5. beth

    Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs): Digitali ina mchango gani?

    Ukuaji wa Teknolojia unachochea Matumizi ya Digitali kwa kiwango kikubwa. Majukwaa ya Kidigitali yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia; 1) Fursa za Ujasiriamali ambazo husaidia kuinua Uchumi 2) Utoaji Elimu na Maarifa ya Kidigitali...
  6. BabaMorgan

    Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

    Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati. Vita dhidi ya nani? Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui. You need to be...
  7. Theorist Mosses

    SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  8. Mzee wa Malengo

    Natafuta mpenzi wa malengo

    Kwa kifupi kuna mengi ambayo nimefikiria mpaka kuandika Andiko hili Kama utaona kuna binti au linakufa wewe mwanamke basi pm yangu iko wazi Na ni serious Kwa kifupi Mimi ni kijana umri miaka 28, ninaishi katika moja ya wilaya mkoani mbeya Nimeajiriwa kampuni binafsi na pia ninajishughulisha na...
  9. Lycaon pictus

    Nini kinatokea mtu anaposhindwa kufikia malengo yake?

    Mtu kutofikia malengo yake(frustration) moja ya ishu kubwa inayochangia kushape tabia ya mtu. Tabia nyingi tunazoziona kwa watu, na zingine tunaita magonjwa ya akili ni matokeo ya watu kushindwa kufikia malengo. Kwenye uzi huu jinsi watu wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo. 1...
  10. JanguKamaJangu

    Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  11. AbuuMaryam

    Betting ni biashara inayolipa, mpaka radio zimeamua kuachana na malengo ya msingi zimehamia huku. TCRA mpo kimya tu

    Radios na TVs ila Radios sana sana, yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji. Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana. Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni...
  12. Kichwamoto

    Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
  13. Masokotz

    Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  14. YEHODAYA

    Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

    Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo ya sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi...
  15. britanicca

    Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha. Tatizo kubwa linaloiumiza...
  16. Mhafidhina07

    Kama una ndoto endelea kulala, kama una malengo pambania

    Ni matumaini yangu u mzima na afya tele. Leo ningependa kugusia na kuongelea kwa uchache mada inayohusisha mafanikio moja kwa moja kwa vijana ni matumaini yangu bandiko hili halitoondolewa au kuunganishwa na thread za awali. Unajua waarabu wanakamsemo "anniatu min qalbi" kwamba kila kitu ni...
  17. N

    Ni hatari sana kuwa na jirani wa hivi,maskini wa fikra, a dunderhead asiye na malengo

    Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula kimaskini utasikia EHEEE MALI HIZO WATAKUFA WATAZIACHA...EHEEEE WAKIITWA WENYE MAGARI NA WEWE...
  18. Nyuki Mdogo

    Ikifika Desemba 31 mwaka huu naomba mnikumbushe kuhusu malengo yangu

    Habari za muda huu ladies and gentlemen. I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi. atakaekwazika naomba anisamehe saaana kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi...
  19. Dr Count Capone

    Vita ya Urusi na Ukraine: Akili na malengo ya Putin nchini Ukraine

    Na Jumaa Kilumbi, Katika andiko hili fupi ningependa kutahadharisha kuwa hatutazungumza kiitikadi, kinafki wala kihisia, hatutazungumza mambo yanavyopaswa kuwa tutazungumza mambo yalivyo, tutazungumza kwa kuangalia ‘practical result’ na uhalisia tunaamini na tunafahamu dunia haiendeshwi kwa...
  20. M

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na Urusi

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI. Malengo ya MAREKANI na NATO kwa ujumla ilikuwa ni kuitumia UKRAINE katika kujaribu kuidhoofisha URUSI. Ili kufanikisha...
Back
Top Bottom