KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU
Utangulizi
Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
Utangulizi:
Katika sekta yoyote, uwajibikaji na uongozi bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha ufanisi na mafanikio ya shirika. Kuchochea mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni jambo la msingi katika kuboresha utendaji na kukua kwa kampuni. Katika andiko hili, tutachunguza hatua...
La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye!
Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano hayo.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
I. Utangulizi
Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania.
Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari.
Mara ya...
Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations"
Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao;
1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
Anonymous
Thread
afya
baraza
hatarini
kupoteza
malengo
mct
mwaka
ndoto
tanganyika
wizara
wizara ya afya
zaidi ya
NDOTO ZA MTOTO: JINSI JAMII NA VIONGOZI WALIVYOMSAIDIA MTOTO KUFIKIA MALENGO YAKE
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Ndoto ni malengo ya mtu katika maisha. Watoto wana ndoto mbalimbali, lakini si wote wanafikia ndoto zao kutokana na shida kama umaskini, ujinga, magonjwa, ukatili, ubaguzi...
Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee.
Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
Afya ni muhimu sana katika kuimarisha jamii. Jamii yenye afya bora ina uwezo wa kufanya kazi vizuri na kuendeleza uchumi wake. Afya pia ina athari kubwa kwa maisha ya kila siku ya watu binafsi, ikiwa ni pamoja na uwezo wao wa kufanya kazi, kujifunza na kufurahia maisha.
Jamii yenye afya pia ina...
Kuna kundi kubwa sana la viongozi ambao hawaja chaguliwa kuwawakilisha watu. Kundi hilo wapo wanawake kwa wanaume.
Wanajiita illuminati. Kundi hili wanazungukia kila Nchi dunia nzima na kuteka rasilimali. Kundi hili linashambulia wanadamu kwa kisingizio cha mabadiliko ya tabia ya nchi au...
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.
Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC
“Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
Habari!
Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa .
Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
Lengo ni msingi muhimu katika kufikia malengo yetu. Bila lengo, ni vigumu sana kuamua hatua za kuchukua na njia ya kufuata ili kufikia mafanikio. Lengo linatupa mwelekeo na jinsi ya kushirikisha nguvu na rasilimali zetu kwa njia inayolingana na matakwa yetu.
Wakati wa kuweka malengo, ni muhimu...
Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy...
Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini.
Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
Habari wapambanaji?
Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo.
Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana.
Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako.
Achana na wazo mwanamke ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.