mali ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  2. JamiiForums Tanzania Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
  3. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Tanzania wanapenda ku-appear kwenye media, halafu hawapendi maoni ya wananchi kuwahusu? Je, hawajui wao ni mali ya umma?

    Viongozi ni mali ya umma. Kama wanapenda kuonekana videoni, ni kwanini iwe nongwa kusema chochote kumuhusu, baada ya wewe kumuona kideoni? Kiongozi ukishaonekana kwenye video ni sawa na msanii katoa wimbo mpya, lazima tutataka kukosoa au kupongeza namna utavyocheza ukiwa unaonekana kwenye...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama Mwigulu hana biashara yoyote, Basi atakuwa Fisadi na Mwizi mkubwa wa Pesa ya Umma

    Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara! Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa! Aueleze umma, kama hana kitega uchumi chochote, aueleze umma, pesa anayowalipa wale wachezaji wa Timu take ya mpira, anachukua wapi? Maana...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

    Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  8. JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Manyara: Mtendaji wa Kijiji ahukumiwa Miaka 41 jela kwa Ubadhirifu, Matumizi mabaya ya Madaraka na Wizi wa Mali ya Umma

    Aprili 25, 2023, Mahakama ya Wilaya ya MBULU imemtia hatiani Mshtakiwa Bw. SAMWEL QAMBINA DUKHO, katika Shauri la Uhujumu Uchumi Na.06/2022. Shauri hili lilikuwa mbele ya Mh. Victus KAPUGI na liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka MARTINI MAKANI Katika shauri hilo mshtakiwa alikua anashtakiwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  12. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo endelevu hupatikana kama kuna siasa safi

    Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano. Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa na utulivu hapana kulingana na uelewa wangu. Amani na utulivu ni matokeo tu kipo kinachofanya watu...
  15. JamiiForums Tanzania Tutaiba kidogo mali ya umma na kutubu, kikubwa usiache alama yenye mashaka kwa Mamlaka

    Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…