mali

  1. Zanzibar-ASP

    Hivi kweli mama zetu ndio wawe watunzaji wa mali zetu? Mnawajua mama zetu walivyo?

    Kisa cha mchezaji wa PSG Achraf Hakimi kuandikisha mali zake kwa jina la mama yake halafu mkewe kuambulia patupu mara baada ya kuachana kimewafanya wanaume wengi kupata muamko wa kutaka kuiga hiyo style. Lakini kuna mambo watu huenda wanasahau kuhusu hawa mama Zetu hususani huku Afrika. Kwa...
  2. Hemedy Jr Junior

    Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  3. Suley2019

    Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  4. Myebusi Mweusi

    Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  5. B

    Kabla hujamdhamini mtu, hakuna tofauti kati ya mdhamini na mkopaji deni linaposhindwa kulipwa

    BENKI KUUZA MALI YA MDHAMINI. Bashir Yakub, WAKILI +255714047241 Tarehe 1/4/2023 Mahakama ya rufaa imesisitiza kuwa unapomdhamini mtu kwa kuweka mali yako rehani ili uliyemdhamini achukue mkopo basi unatakiwa kujua kuwa hatia yako na huyo uliyemdhamini ni sawa pale anaposhindwa kulipa...
  6. Nzelu za bwino

    Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  7. Upekuzi101

    Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  8. S

    Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
  9. Hemedy Jr Junior

    Kipi bora kuuza mali zako kumsomesha mtoto ili aje akusaidie baadae au ubaki na mali zako na mtoto umpa elimu ya maisha

    Familia nyingi zimefeli baada ya kumaliza mali kama mashamba,mifugo n.k kwa kuwasomesha watoto wao mwisho watoto wao wamekuja na vyeti nyumbani. Elimu ya maisha yamekosa hata elimu waliyoipata huko shuleni wamerudi mtaani haitumiki. elimu yako ndo inayokutesa.... kazi unayofanya sasa hivi...
  10. Mystery

    Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  11. GENTAMYCINE

    TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  12. MIXOLOGIST

    Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika

    Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...
  13. Mohammed wa 5

    Kuna members kila mada za wezao wao ni kupinga na kukatisha tamaa

    Labda nina pasaka chache na eid chache humu JF, Jamiiforums bila watu sio kitu Tena wazee wanachoka au labda wana majukumu mengi ata muda wa kutype hawana, tupo new generation tunalisongesha gurudumu hapa JF. Inawezekana Kuna member walifanya makubwa kwenye majukwaa humu JF na mada zao...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Mtoto aliwahi kuniletea mali, nikashindwa kujiongeza

    Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?! Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia. Mtoto nilianza kumpenda sana akiwa mwanafunzi wangu wa tuition nikiwa form six. Nikamtongoza miaka...
  15. TheForgotten Genious

    MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

    Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras. Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa...
  16. TheForgotten Genious

    Mali zangu ni za wanangu

    Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras. Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa...
  17. M

    Mali asili ni mali ya uhakika: Bila utajiri wa mali asili saa hii tungekuwa tumeisahau Urusi.

    Vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa Urusi, hakuna taifa ambalo lingeweza kuvistahimili kama ilivyoonyesha Urusi. Hata mataifa ya magharibi ikiweo Marekani yameachwa midomo wazi, hawakutegemea!! Urusi imepata wapi jeuri hii?? Jibu lipo kwenye utajiri wa mali asili ilizo nazo urusi na ambazo...
  18. N

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  19. mdukuzi

    Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

    Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
Back
Top Bottom