Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.
Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi.
Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na...
ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI
Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu
Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG.
Chanzo: Jambo TV
Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine
Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
Kwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya Serikali, wakuitwa MaxMalipo...
Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12.
Mahakamani walijitetea kwamba baada...
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.
Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.
Naomba kwa...
Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe.
Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366).
CAG anaripoti...
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema...
Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta hamiliki mali zozote kutokana na mali zote zimewekwa kwa jina la Mama yake.Ashraf hakim amekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.