Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.

Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.

Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.

Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.

Bado tu hamjaelewa?
 
r

Revelations never work in scientific world!
 
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.

Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.

Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.

Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.

Bado tu hamjaelewa?
huyo TL , messiah/saviour wa nani?
 
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.

Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.

Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.

Sihitaji kutaja list ya walioshindwa dhidi ya Lissu.

Bado tu hamjaelewa?

Period...
 
Wasichojua ni kwamba Mungu hakumponya Tundu Lissu zile risasi 17 kwa bahati mbaya.

Alijua anakuja kumtumia kweli kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli zinazolifanya Taifa kuwa maskini kila kukicha.

Alishindwa Mkapa, Jk na jiwe akatangulia itakua waganga njaa hawa?
 
Back
Top Bottom