Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

Hakuna unabii hapa. Ni ukweli tu
Ukisha sema mambo ya Risasi , kutetea watu, mahakamani, kusema ukweli etc eti Mungu yupo naye, basi ni revelations maana hata existence of God kwa mtu ambae ana independent thinking uwepo wake will never be proved!
all in all Lisu is good lakini ana mapungufu makubwa. Huwezi kuyaona as long as uko karibu naye!
 
Hayo mapungufu mnayaona nyie wazee wa siasa za ongeza Dau
 
Umasikini wa Tanzania ni wa kutengeneza.

Ukiangalia namna wanavyotumia hela za walipakodi kufund mambo ya kipuuzi kama shughuli za hawa madalali wa kisiasa ili kufanya nchi isipate mabadiliko ya kweli utagundua kuwa CCM ni laana kubwa sana kwa hili Taifa.
Tunao wapa dhamana wanatumia tabia ya unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao,(unafiki), a k.a kujizima data
 
Back
Top Bottom